MFANO WA FARU ALIYEUAWA NA MAJANGILI
Faru dume aitwaye Limpopo aliyeuawa Agosti 1 mwaka jana na majangili kwa kuvunja uzio alimohifadhiwa katika eneo la Nyabikabwe kijiji cha Makundusi kata ya Natta Wilayani Serengeti ,Faru huyo ni kati ya wawili walioletwa mwaka 2007 na kampuni ya Singita Grumenti Reserves toka Afrika ya Kusini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni