Jumatano, 2 Aprili 2014

MAJANGILI WAKITOA MENO YA TEMBO BAADA YA KUMUUA

Mmoja wa majangili akitoa meno ya tembo baada ya kumuua  katika mbuga ya wanyama ya Ruaha ,ambapo wanyama hawa wamekuwa wakitoweka  mbugani kutokana na ujangili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni